Nilitaka nione ajabu Crashwise asinitaje,
Ila umekosea Pakubwa,me ndo kwanza niko Drs la 5 pale Magogoni.
Hehehehe hapo penye nyota umenitukana mtoto au?
hahahaha nilimaanisha m.k.w.e.r.e nikutukane tena nikose kualikwa kwenye shughuli..
Amekopeshwa na Mtambuzi
I have three wishes for you on your birthday. First, I wish that this Birthday teaches you something new and beautiful. Second, I wish that you have a day that you'll remember forever with a smile. And third, I wish that such days keep coming in every single day. Kila la kheri Sweetlady
lol una bahati manake mtoto nilishanuna hapa
We mtoto ndio nini unazaliwa kimyakimya?
Namuagiza Nicas Mtei akuletee zawadi ya baby show na baby diaper!
Hahahaha usimpe Nicas Mtei manake havitafika
Kwanini tena? Hivi naruhusiwa kuazima chopa la chama nije nikuletee mwenywe?
Mtoto wa dot com mie......nimezaliwa enzi za JK unategemea nini?
Sasa anajishaua nini na hela za mkopo?..... Nicas Mtei acha kunichonganisha na Bishanga
Kwani CCM mna chopa la chama?.....si nilisikia Rostam aliondoka na chopa lake
We mtoto ndio nini unazaliwa kimyakimya?
Namuagiza Nicas Mtei akuletee zawadi ya baby show na baby diaper!
Jitahidi usiniangushe mtoto mie