Sante sana TF. Afu ndo nini kuwagawia bebii na mwita25 vinywaji kabla hata sijakata keki?...lol...Happy Birthday Sweetlady ila hapo kwenye red bebii alipopasema na mimi nahitaji maelezo ya kina
Sante sana FF. Barikiwa sana.Sweet Lady,
May you be the sweetest on your birthday and many to come.
FaizaFoxy
Vry thanks my bro Kivumah. Karibu sana!Happy BirthDay Sweet Lady.
AshaDii ni wifi yangu. Karibu sana.Hivi mtu anawezaje kujua kuwa leo ni siku ya kuzaliwa ya mtu mwingine wakati humu tunaingia na fake IDs?
Japo sijavaa miwani yangu leo, lakini nimeona........ nadhani hili halikihusu chama, si ndio?Hommie chukua sick sheet kama kawa....kisha hapo kwen bold.....asee inabidi 'tujipange sawasawa'...umeona eeh..
Thanx mpendwa!Happy birthday SL,vp wap leo? Au palepale pa cku zote The Big L Pub? Tukale minyama ya kuku au co!!
Sante sana RR. Bora wewe umeamua usimpigie mtoto kelele. Mwambie Kaizer na ODM waache kelele mtoto ataamka!..Hepi besidei SL....wacha nisikusumbue na mineno mingi.....
Japo sijavaa miwani yangu leo, lakini nimeona........ nadhani hili halikihusu chama, si ndio?
Sante sana ODM... Hapa kuna maneno yamenifurahisha na mengine yameniliza kwakweli, bt usijal sana vile nshamaliza kufuta machozi sherehe iko pale, pale. Barikiwa sana babu yangu wa ukweli.Kwa niaba ya wapwa na mabinamu zangu, na
Kwa niaba ya mababu wenzangu wote, na
Kwa niaba ya wajukuu zangu wote, watukutu, mtiifu, spesho,mwema, wapya na wakongwe, na
Kwa niaba ya hommies zangu wote
Kwa niaba ya wanachama wote na uongozi wa ISC,na
Kwa niaba ya wanywaji na wachangiaji wakuu wa pato la Serikali ya JMT, na
Kwa niaba ya mashabiki, wanachama, wapenzi na wachezaji wa Simba SC na Liverpool FC, na
Kwaniaba ya MODS wenzangu wa majukwaa yote, na
Kwaniaba ya mashemeji zangu wote, wakiongozwa na my darling shemeji, na
Kwa niaba ya soulmate wangu...
Mimi ODM kwa mamlaka niliyopewa na kujipa mwenyewe...... Nakutaarifu kuwa watu wote hao hapo juu wanakutakia Heri ya Siku yako ya kuzaliwa.
Kumbuka: Kadiri mwaka unavyoongezeka ndivyo unavyopiga hatua moja kulisogelea kaburi. Mkumbuke Mungu wako na Mshukuru kwa mema yote aliyokutendea.......... Tazama, leo umetimiza miaka hii, wakati kuna uliowatangulia kuliona jua hivi sasa wamefunikwa na tani takribani saba ya dongo zito, katili na lisilo na huruma.
Nakuombea uishi miaka mingi zaidi, uzae watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wale wasishibe ili upate maarifa ya kuhangaika kwa ajili yao zaidi na zaidi kama ambavyo wazazi wako walikuhangaikia.
Ukikutana na mama yako, naomba umpigie makofi matatu kwa niaba yangu.
Ubarikiwe sana.
Thanx a lot dear....be blessed... Ujiandae, nakupitia twende kwa your dada, huko ndo shughuli nzima itafanyika. Love you!
Ewaa....... kimaslahi zaidi...............shiiiii RR asijue.... (e mkuvi sha bung'a):tongue:ewaa..chama hapa hakihusiki hommie...kifamilia zaidi....hahahaha
Happy Birthday Sweetlady ila hapo kwenye red bebii alipopasema na mimi nahitaji maelezo ya kina
Hahaha! Ndio mana nakupenda...i'll be there soon.Nimeshavunja kabati love...si wajua tena mambo ya ku dress to kill...
Ewaaa.......... hebu do me a favour kwa kuniambia ID yako ya zamani, manake dah! au ndo mambo ya kukonekti dhem dots?Asprin said...connect em dots to get em answers...
Sante sana RR. Bora wewe umeamua usimpigie mtoto kelele. Mwambie Kaizer na ODM waache kelele mtoto ataamka!..
Heri ya kuzaliwa SweetLady
Lol... Sante sana my lovly brother and shemeji Kaizer... Nawapenda sana wewe na swetie wako AD... Mungu awabariki sana!SL,
Tukiacha kelele hata mawe yatapiga
kwa vile hii ni siku maalum kwako kelele tutapiga,
Na baadaye tutacheza Kwaiti "Hakunaaaga"
Kisha tunywe tule na Kuaga!
Happy birthday SL
Ewaaa.......... hebu do me a favour kwa kuniambia ID yako ya zamani, manake dah! au ndo mambo ya kukonekti dhem dots?
Thanks a lot AfroD. Be blessed mpendwa, hope mtakuja pamoja na lovely bro The Finest..