>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<


Umejibu vizuri mkuu! Sina mashaka juu ya kiwango chako cha elimu.
 
hivi mtu anawezaje kujua kuwa leo ni siku ya kuzaliwa ya mtu mwingine wakati humu tunaingia na fake ids?
kweli nimeamini wewe ni kilaza kila kitu unapenda kuona watu wako opposite birhday tu ? Watu humu wanajuana live wanajuana na baba na mama zao watoto wanakoishi kila kitu sio hata issue za birthday tu.kama unadhani watu wako kifeki hapa wewe ndo feki tu
 
HAppy Birthday SL

Uwe na uhakika tu Mi na sweetie tuko very busy kukuandalia whatever you wished for

Ila juzi kwen Bday ya Kivumah kuna watu walilewa kipita kiasi, hivyo AD inabidi tuwe na kamati ya vinywaji nyingine kweny hii ya SL,,,sipendi kuwataja hapa kwa ajili ya usalama wao

Natanguliza kukutakia kila la heri kwenye hii siku yako na siku zijazo mbeleni. Zingatia alichosema Hommie mwenzangu, MOD wa majukwaa yote, kiongozi mwenzangu wa ISC kuhusu namna ya kuishi mwenyewe na watoto wako uli/takaojaaliwa.

Mungu akubariki sana na tuonane baadaye. Miss you.
 

Naona umejibu kishangingi zaidi.
 
Hommie, kwa mantiki hii kuna kila sababu ya kuchukua sick sheet, siyo?......Alafu hii sredi kuanzishwa na Shem wangu, natamani nikonekti dhem dots.........!
 
Lol.... Nimeishiwa na chakusema! Sante sana wifi yangu mpenzi Ad... Mungu akubariki sana, sana. I love you so much! Mwaaaaaah 2u!
 
Happy Birthday Sweet Lady


ILA HAPO RED SIJAELEWA MY LOVELY SIS ASHA DIIIII
Thanx sana B. Hapo red usijali, patatolewa ufafanuzi bdae. Wacha my lovely wifi AD amalize kuniandalia mahanjumati! Karibu sana mpendwa!
 
Hivi mtu anawezaje kujua kuwa leo ni siku ya kuzaliwa ya mtu mwingine wakati humu tunaingia na fake IDs?


brainless man mba -msha

Napenda wanawake lakini sipendi wanawake wanaojitongozesha.

sidhani kama kuna mwanamke anaeweza kujitongozesha kwa nusu mwanaume i mean mwanaume suruali tu
we usualy look and admire real men
Guys! Our new born baby girl is still asleep! ..............Stop this........pliiiiiiis!
 
sidhani kama kuna mwanamke anaeweza kujitongozesha kwa nusu mwanaume i mean mwanaume suruali tu
we usualy look and admire real men
Hahaha..thenkyuu
 
Happy Birthday SL!
Sa jioni vp tukae kama kamati pale Cet Gardern, maana ni jirani na kwako!
Thanx sana bro PJ. Ngoja niwasiliane na kamati kuu afu ntakujibu.. Sante na ubarikiwe sana.
 
Hommie, kwa mantiki hii kuna kila sababu ya kuchukua sick sheet, siyo?......Alafu hii sredi kuanzishwa na Shem wangu, natamani nikonekti dhem dots.........!

Hommie chukua sick sheet kama kawa....kisha hapo kwen bold.....asee inabidi 'tujipange sawasawa'...umeona eeh..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…