Happy birthday Smart911

Nitafutie mywangu mmoja kama smart tuvumiliane kama nyie,ila unipe past papers kabisa!πŸ˜…
Weeeee past papers zetu utaziweza???

Kuna muda tunapigana tunachambana tunavutana sanaa tunanunianaa nasusaaaa bila maelezo yaliyojitoshekeza tunaenda kimyaa kimyaaa ivoivoooooπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜Š
 
Ndio kazi tuliyonayo hapa duniani wanawake! mtibue akitulia, akitibuka mtulize!πŸ€—
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Namie sometimes namtibuaaaa kweliikweliiiiiiii anaumia hadi nafeel uchungu alioupata!

Tukikutana tunaanza kusovu kesi kwanza
 
Kama ananipa ninachokata, mbona freshy tu! ila kama ndio pangu pakavu tia mchuzi halafu bado analeta mambo ya kiwaki,tamnyoosha!
Ukitaka ufurahie wee mfanye kama mpenzi rafiki mfano wa Smart

Hapo kwenye ninachotaka sasa awwwwwwwwwwwwwwwww!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Aishi sana kivuruge wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…