Yanii hanipati ng'oo! πAkusikie uone kama haujalikimbia jiji .
πππππNikamkumbuka dogo mmoja wa mjini kati mbeya alimtongoza mdogo wake kipindi hiko kaka ni RC ,saa ngapi mwamba asinyee ndoo huko gereza la ilembo kila akiulizwa babu vipi wewe kuwepo hapa anasema nyege kaka ππ
Jitahidi usizimie tu sigara kwenye ualaza! tutashindwa kuwatofautisha! utimamu anao ni kujichetua tu, na zile dharau anatukataa tunaomiliki corolla eti tunaichafua dar!Mimi mfupi kama yeye ila madoa sina na akili nahisi zangu ziko timamu kabisa
Atanipata wapi?Unaleta utani kwa wa kwetu lazima akuparue uende ukaponee kwenu .
Hakuna cha closed or open letter! mapenzi ni sumu sio siri,mwamba kapoa sana kama kanyeshewa mvua!Sasa hivi kaka kawa mpole na zile mada zake za utafiti zimekoma ,chezea penzi wewe ?
Na vita yangu na yeye ilianzia kwenye corolla ,sababu kabla tulimingle vizuri mnoYanii hanipati ng'oo! π
πππππ
Jitahidi usizimie tu sigara kwenye ualaza! tutashindwa kuwatofautisha! utimamu anao ni kujichetua tu, na zile dharau anatukataa tunaomiliki corolla eti tunaichafua dar!
Nifundishe kubeti uone kama hatutamingle ,maana mengine tuko sawa ila kwenye argentina atambonda England nabaki mdomo wazi sielewiSema hii kapo imejua kudumu bhana
Nikipata my wangu wa hivi hapa JF wallah nitachukua notes zenu
Happy birthday shemeji wa taifa la JF Smart911
Ni hapo mimi nikimpenda mtu hapa ,najaribu huko PM akinibwaga basi kila uzi nitakopomkuta hakuna kukomenti wala kulike asije akanishuhsia kaheshima kangu kaliko bakiAtanipata wapi?
Hakuna cha closed or open letter! mapenzi ni sumu sio siri,mwamba kapoa sana kama kanyeshewa mvua!
Smart911 point imewekwa kwenye jalada hiiiNa haya ndiyo maneno ambayo mwanaume yeyote akiambiwa kichwa chake hakiwezi kukaa sawa kwa wiki moja maana setting za kichwa zinatikisika ni maneno matamu ,makubwa ,yenye radha isiyomithirika .
Happy birthday Smart911 ila katunze hako kamama kama mboni yako aisee
Anyway mwanamke mmoja single atokee aseme maneno mazuri kuhusu mimi hata kwa kusifia umbo la mwili wangu huu wenye kitambi kikubwa ,uwalaza mpaka kisogoni na mfupi kama chalamila na mweupe kama Ally happi.
Kajipata basi hataki kuiona corolla! πNa vita yangu na yeye ilianzia kwenye corolla ,sababu kabla tulimingle vizuri mno
Kichekesho ashapanda sana hizo corolla kwa lift ila anajichetua tu
Mna dhambi nyie!!Mimi naanza kwa kuongoza msafara wao watakaokuja huko nyuma, napenda sana kitambi chako cha kufutia simu, usiwe tu na madoa kama ya chalamila utasema anazimiaga sigara usoni
Mliona wapi tumbo lake lakini πππ!Akusikie uone kama haujalikimbia jiji .
Nikamkumbuka dogo mmoja wa mjini kati mbeya alimtongoza mdogo wake kipindi hiko kaka ni RC ,saa ngapi mwamba asinyee ndoo huko gereza la ilembo kila akiulizwa babu vipi wewe kuwepo hapa anasema nyege kaka ππ
Mimi mfupi kama yeye ila madoa sina na akili nahisi zangu ziko timamu kabisa
Ne-yo effects
Hahaha kwani mliishia wapi na kipenziyo? umenichekesha kama mbwai na iwe mbwai!ππNi hapo mimi nikimpenda mtu hapa ,najaribu huko PM akinibwaga basi kila uzi nitakopomkuta hakuna kukomenti wala kulike asije akanishuhsia kaheshima kangu kaliko baki
Kweli wacha nijitoe, nisije ozea segerea!πMna dhambi nyie!!
Mliona wapi tumbo lake lakini πππ!
Ukiingia 18 za wakubwa lazima wakuonyooshe!