Kuna vitu si vya kujaribu kipenzi.....kuja kuchanganyikiwa utuuzimani inahuuWeeee my king anataka weyeeee! Afu Hio kitu haizeekagi banaaa mpe uone utavofurahiaaa!
Acha uchoyo Angel Maisha ndio hayahayaaaa
Ila umenikumbusha mbali..!2011 sio padogo ujue 😂😂😊!!
Sometimes life fuckss mkuu kupanda na kushuka ni hatua katika maisha tu Mapenzi matamu hasa ukipata rafiki kipenzi kama Smart!!Ila umenikumbusha mbali..!
Kuna mtu alipauka hataree😅
Hakika maisha ni mabonde na milima
Hahaha acha mambo yako, utaniuaa...Risk how which when!!!???
Kwa Smart ni rahaa utamu tu kama una mdogo ako pia mleteee Smart ako gadooo ako furruuuuuuuuuu🤣🤣!
Ehbwana eeehhh, si kwa sifa hiziTry him uone utamu wa maishaaaaa!! Just try ukishindwa nirudishieee Smart wanguu 😂 😁😁😁!!
Angel Nylon anahisi simfahamu ndiyo maana anatamba tamba humu.. hahahaNakaziaaaaaaaaa! Vifaranga kupakana shombo tu vitru matured ndo mwake buaana! 😁
2011 hapo nina watt wawili......saivi nasubiri wajukuu tena 😛Akithibitisha nitaggg😁😁😁!!
2011 sio padogo ujue 😂😂😊!!
Matured ndio wazuriiiii hatuna konakonaaaa! Enjoy babyboyyyy🥳🥳🥳🥳🥳💋
Weeehhh, nguvu zipo nyingi basi!!!?Risk how which when!!!???
Kwa Smart ni rahaa utamu tu kama una mdogo ako pia mleteee Smart ako gadooo ako furruuuuuuuuuu🤣🤣!
Eembu tuone vile utakavyochanganyikiwa...Kuna vitu si vya kujaribu kipenzi.....kuja kuchanganyikiwa utuuzimani inahuu