Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ebu acha wivuHmmmm
Ebu acha wivuHmmmm
KhaaaaaaaSijasahau, sema mambo yamevurugika kabisa, nikiwa na wazo la pesa usiku nikilala siku ya pili nikiamka, mpango wote unavurugika
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mama mkwe natamani kupata mwaliko wa mwaka mpya.Mmh mimi siku hizi jf sio sana nimekutengaje sasa ebu acha maisha ya kujishtukia usiwe hivyo ukiishi hivyo utapata shida sana

Sitakuwa na nafasi mkesha wa mwaka mpya na tar 1 naingia kazini jioni
Asante dada wa mieUishi miaka mingi dada wa mie.



nakupenda wa kunyumba wangu
Kwahiyo unazidi kumdanganya
Mimi nakupenda zaidi Dada wa mie. 😍😍Asante dada wa mienakupenda wa kunyumba wangu
Pole sana jamani kaka!!Sijasahau, sema mambo yamevurugika kabisa, nikiwa na wazo la pesa usiku nikilala siku ya pili nikiamka, mpango wote unavurugika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbona umechelewa jamani cake imeisha toka janaMimi nakupenda zaidi Dada wa mie.
Haya nipo nasubiria hiyo Keki Mtanga mie. Au ishaisha?![]()
Sijui anamkwepa naniKabisaa jamani dear
Wapi ukoKeshaharibuu