Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nakupenda pia dear


ufahamu hilo
Nakupenda pia dear


ufahamu hilo



Atatoa tu hata akiomba muongozoIla sikuizi umenitenga mpka najishtukia sijui nmekukosea nini?Asante Ba mkwe wangu mimi
Sijasahau, sema mambo yamevurugika kabisa, nikiwa na wazo la pesa usiku nikilala siku ya pili nikiamka, mpango wote unavurugikaKaka zawadi yangu jamani



Mmh mimi siku hizi jf sio sana nimekutengaje sasa ebu acha maisha ya kujishtukia usiwe hivyo ukiishi hivyo utapata shida sana
Asante jamani umenifanya nimemkumbuka insta baby wangu sijui katekwa wapi Jimmie Gatsby
Nimecheka sana
Nasubiria muongozo
Anabadili I'd kama auntie yetu jamani