Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
HahhahahhaAibu naona mimi jamani
HahhahahhaAibu naona mimi jamani
Si ukate tamaa tu bado unadai tu jamaniYaani jamani
Sawa kaka jamani...
Kwa hiyo unavua nguo zote ndo unalala?! Ni kila siku?! Je mwizi akikuja?! Je popobawa akikuja?!







fwala wewe
Hahhaha smart bwana leo unanifurahisha sana
Ngoja waje kutoa muongozo!
Mimi ni nani smart nikubishie

stress za kodi ya nyumba nimeshamtupia
Nimeona keki, naomba ikuje na zile raba



Mfyuuuu niacheee kwa nini usiniulize wozap
Ebu uko unajifanya hujuiNawaza tuu mimi jamani dada!!
Silali bila nguo aisee
Hahhaa mimi mwanzo sijamjua ulivyomdai zawadi ndio kujua huyu aliYaaaniii namdai hadi akomee...keshabadili ID mara nne ila ninaye tuu
Asante mpenzi wanguHeri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa dear Shunie, uishi umri mrefu mpaka ushangae, ila 40 bado bana,nahisi u bado kabinti kabichiii
Sent using Jamii Forums mobile app
barikiwa 40 nimefikisha bwana mbona hamtaki kuamini
Hahhaha chizi wewe
Sikupata nafasi ya kukwambia hata Shunie nimemwambia leoMbona mimi hujaniambia jamani