Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078


Hahahah..! Si pasui kichwa tu, napasua na vingine kabisa..Jamani jamani yameanza lini haya we pasua kichwa
Ndo maana huwa anakununiaNapitwa na mengi sana,hadi bday ya my ex mkwe imenipita hivi hivi,happy belated bday mkwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi mpaka muda mwingine nakua napita juu kwa juu tu humu,nishamzoea mwenyewe mkwe wangu wa kununa nuna 🤣Ndo maana huwa anakununia
Kwahiyo mpaka ukotiwe eenh
Asante mpenzi niko nasubiri zawadi
Weeeh vingine vipi hivyo
Napitwa na mengi sana,hadi bday ya my ex mkwe imenipita hivi hivi,happy belated bday mkwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana huwa anakununia
Mambo mengi mpaka muda mwingine nakua napita juu kwa juu tu humu,nishamzoea mwenyewe mkwe wangu wa kununa nuna![]()
Haya naomba zawadi basi utume kwa tigo pesa kwa mkweo wa kununa nuna
Shauri yakooo
Woyooooooo



Sasa utakotiwa vipi na hujapost kitu kwa nini usingetukoti eti
Naruhusiwa kukutakia happy birthday?Sasa utakotiwa vipi na hujapost kitu kwa nini usingetukoti eti


