Afadhali uende pm, kuna kanamba kangu besidei gelo jamani. Hii besidei sijui ilikuwaje nikaisahau![]()



yaani nimekoma mimi,, kiranga komo..
Hahaha ndio ishatokea hiyo siku nyingine usirudie tena
So hope now life has started to her is it..? (life starts at forty)
Sent using Jamii Forums mobile app

Niacheee
Asante kipenzi changu


nakupenda pia
Safi sana smart ndio inavyotakiwa
Tuma basi kipenzi cha roho yanguMimi nafurahi tu unavyoanza "kuni-address". Japo unaongeza msisitizo wakati wa miamala.




Twin wako jamani, au umesahau tumezaliwa siku mojaHahhahah twin ake nani nacheka mimi



Umetumwa wewe sio bure