We yako iwe mtondogoo yangu mimi siku mbili utanizibia kupata zawadiHuh!! Basi namimi yangu keshokutwa.
Kabisa. Natamani hata nilale ndani ya pipa,ile ambayo haijamixisiwa vizuri pale breweriesBia 80![]()
Hahahha ndio ushangaeKeki inaliwa chumbani
Kitoto kibishi hiki

Shukrani mkuu
Hahahha ila auntie mambo za chumbani si umeleta weweKitoto kichoyo hiki.
Jinga wewe ni kiasi hauniamini basi nimeghaili situmi tena
Nishatuma mie mwambie aangalie pm
Shunie tuma namba

Yuko hukooo michepukoni.@Eli79