


unaona sasa mambo ya wabongo haya??
Sema kweli jamani unataka kutuma muhamala
Usisubutu kusema ukweli humu jf hata mkijuana hakitaharibika kituHahaha nilianza kwa kusema nina miaka 42 watu wakawa wanaamini mwisho wa siku wanakuja kunifahamu wanakuta nina miaka 22 wanaanza kushangaa ni wewe kweli mwenye mineno yote ile kule JF nawaambia ni mimi,, sasa mwisho wa siku nikaona isiwe taabu acha niseme tu umri wangu halisi ili kusudi tukifahamiana tusishangaane tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaah!! Nina njaa auntie, keki iko wapi?Auntie wangu huyo kuku wa kizungu
Mbona nimekuja pm haupo
Kweli bwana
Katoe keki tule bwana.Auntie wangu bwana
Khaaaaah!! Nina njaa auntie, keki iko wapi?




Hivi si uliaga keki anayo sakayo




jamani
Hahahaha
Alijimwambafai siku hiyoo nakwambia, anapiga hesabu zake jukwaani za kutoa! Nikamwangalia nikasemaa hiiiiiiii
Bia 80Wanaumwaga na siku za sikukuu?. Labda niumwe bia ziliingia kama 80 tumboni...(natania tu)
Sent using Jamii Forums mobile app



Kitoto kichoyo hiki.Keki inaliwa chumbani