Njoo nikupe kazi. Kuna nguo za kufua hapa.We hata usihangaike na mimi mwaya mwenzio hapa nilipo sina kazi ya kufanya nimebaki nachokoza watu tu saa hii hadi wengine washanimind huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Mimi kipindi naingia huku nilikuwa nishajua watoto wanaonewa, ko niliingia na miaka 30
Baraka hizo zitufikie wote mamii!!
Karibu tena kijiweni dear! Penye unatabasamu na mtu ambaye humuoniii
Jinga wewe ni kiasi hauniamini basi nimeghaili situmi tenaHicho cheti naomba kiambatane na namba yako ya simu na picha yenye sura yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kipenzi changuHappy birthday mrembo Shunie.
MfyuuuuuuHahahaahah
Daaaahhh
Auntie wangu huyo kuku wa kizunguJamani usiku mwema.
unakumbuka kwenye uzi wa Zero IQ wa kutaja umri ulisema una miaka mingapi?? Najua leo Sakayo kafanya kukazia tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyeti wa kamati mbona unaaga mapema keki umemkabidhi nani?Jamani usiku mwema.
Wanaumwaga na siku za sikukuu?. Labda niumwe bia ziliingia kama 80 tumboni... (natania tu)Amen dear.
Naendelea vizuri Sakayo. Asante kwa kuuliza.
@Karma kajianika na miaka yake ishirini na kitu mimi siku hiyo namsoma nasema huyu dogo atapata shida sana