Amen dear.Barikiwa dear!!
Unaendeaje wewe jamanii, karibu tena mamii!
Jamani pole mnooo pamoja sijui unachoumwa Mungu akuponyeAmen dear.
Naendelea vizuri Sakayo. Asante kwa kuuliza.
HahhahahahNamzooomm
I see!!!
Hahahha yaani umekuwa kivuruge wewe unawachokoza wapi sasaWe hata usihangaike na mimi mwaya mwenzio hapa nilipo sina kazi ya kufanya nimebaki nachokoza watu tu saa hii hadi wengine washanimind huko
Sent using Jamii Forums mobile app



umeona eenh?? Au 60 kabisa!!
Hilo nalo la moyoni!!
Tufanye uko 52 basi
Jamani pole mnooo pamoja sijui unachoumwa Mungu akuponye






.
Huko mbali saaana jamani...
Wewe umekuwa muwazi saaana kwenye umri! Hukuusoma mchezo eehhh










Weeeh masikini lini
Chizi wangu bwana, haumwi! Aliondokewa na mama yetu
Pole jamani kwa kumpoteza mama najua maumivu yake nimeyapitia msiba wa mama hauzoeleki Mungu azidi kuwatia nguvu mpenzi.
Asante kwa kujali Shunie 'birthday girl'.
Amen dear.