Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493



shangaa ila usibishe,, una majibu ya kukera kwangu mimi tu siyo kwa wengine..
Sent using Jamii Forums mobile app



shangaa ila usibishe,, una majibu ya kukera kwangu mimi tu siyo kwa wengine..
Marahaba mwanangu!!
Siku kuu zimeisha, rudi mjini
bado bado kuna mwaka mpya kule kwa mzee kimaro wanachinja ng'ombe wawil
Khaaaa kusema mie nimejitunuku etiNaona humu ndani kila mtu mzee wa miaka 40,,haina neno kama siku hizi uzee mtu anajitunuku tu basi hata mie kuanzia leo najitunuku uzee wa miaka 42..
tena hata hiyo naona kama hainitoshi ngoja kesho nitaongeza mingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili ugundue nini eti tamuuuuu
Asante mpenziHappy birthday kwake.
Mmh mkuu mimi mwezi wa 5 wapi na wapi nimezaliwa Dec mimiDuuh...! Kumbe Shunie nae kavuta. Basi sawa. Happy birthday Shunie. Kwa hiyo itakuwa alizaliwa mara 2 kwenye mwaka mmoja kama watu wa dar?. Mwezi wa 5 mlisema happy birthday Shunie,na mwezi huu tena?
Sent using Jamii Forums mobile app

unakumbuka kwenye uzi wa Zero IQ wa kutaja umri ulisema una miaka mingapi?? Najua leo Sakayo kafanya kukazia tu!! 
Khaaaa kusema mie nimejitunuku eti
Nilisema na 45 jamani ebu kumbuka karmaunakumbuka kwenye uzi wa Zero IQ wa kutaja umri ulisema una miaka mingapi?? Najua leo Sakayo kafanya kukazia tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah...! Basi sawa Shunie. Nilijua uko sawa na akina wema sepetu,jackline worper,wenye birthday kama 3,3 kwa mwaka. Hongera sana. Nikutumie nini?Mmh mkuu mimi mwezi wa 5 wapi na wapi nimezaliwa Dec mimi
Nitumie mahela tu jamaniAaaah...! Basi sawa Shunie. Nilijua uko sawa na akina wema sepetu,jackline worper,wenye birthday kama 3,3 kwa mwaka. Hongera sana. Nikutumie nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aww




I see!!!shangaa ila usibishe,, una majibu ya kukera kwangu mimi tu siyo kwa wengine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona humu ndani kila mtu mzee wa miaka 40,,haina neno kama siku hizi uzee mtu anajitunuku tu basi hata mie kuanzia leo najitunuku uzee wa miaka 42..
tena hata hiyo naona kama hainitoshi ngoja kesho nitaongeza mingine
Sent using Jamii Forums mobile app








