BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Afu wife, unajua hii birthday imeangukia kipindi cha mfungo. Tafazali wale marafiki zako wapenda kula, charminglady, CUTE, princess enny na ummu kulthum usiwakaribishe, watatuharibia sherehe yetu.
Na wale vyapombe Catherine na AmKATRINA pia usiwakaribishe. Watatutia aibu.
Orayt... nashukuru kwa kulitambua hilo.... Na usije na kile kivazi chako cha utata..
Kama utakuja nacho basi hakikisha huji na mmeo. Kuna sehemu unaweza kumuacha kwa muda.
Wala usijali, pale atakuwa busy anafundisha "michezo"Saa hizi hijab inaburutika sakafuni, mwaka huu niki-RIP nna one way ticket to peponi!
Hubby nikimuacha hapa watamuachia kweli? Hapana banaa!
Oh! Samahani nshakumbuka. BTW Mr. Bado anakutia mamgumi? Kama vipi mpige chini afu kam zis way...
Hapo ndipo unapokosea.... wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA nawapenda sana, na wao wanapendana mbaya. Ni full maraha.... kama vipi unaweza kuomba kuungana nao kama una vigezo na watakukubalia..hahaha! Mr wangu ni mstaarabu. Inaelekea wake zako cacico Yummy na BADILI TABIA wanaoga mvua ya ngumi kwako.
baba upo?? sikusomi ujue?? salamu kwa mama, mwambie nimeamini kweli ndoa ni ndoano! nipo baba na huyu babu navumilia tu!With due respect Happy Birthday to you Roulette
Naona sherehe yako ina vibweka vya kutosha mwaya, maana huyo mshereheshaji ni noumer! ...sounds like a never-miss-occasion.
igweeeeeee! nnai, goodmorning my husband!Hapo ndipo unapokosea.... wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA nawapenda sana, na wao wanapendana mbaya. Ni full maraha.... kama vipi unaweza kuomba kuungana nao kama una vigezo na watakukubalia..
Hapo ndipo unapokosea.... wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA nawapenda sana, na wao wanapendana mbaya. Ni full maraha.... kama vipi unaweza kuomba kuungana nao kama una vigezo na watakukubalia..
Goodmoring my love, niko nyuma yako hapa....igweeeeeee! nnai, goodmorning my husband!
Humu JF kuna ubaguzi wa dhahiri, mie mwaka jana Birthday yangu hata mkate sikupewa, lakini wengine wanapewa makeki makubwa makubwa............. Hii si sawa kabisa.....LOLHappy Birthday to You
Happy Birthday to You
Happy Birthday Dear Roulette
Happy Birthday to You.
From good friends and true,
From old friends and new,
May good luck go with you,
And happiness too.
How old are you?
How old are you?
How old, How old
How old are you?
Kata keki tule,
Kata keki tule,
Kata keki tule Roulette
Kata keki tule.