Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wetu ni mtu mzuri sana na ni kiongozi mzuri sana, ila anaongoza taifa la watu wenye changamoto nyingi, watu wasiokua na shukrani, watu walio kata tamaa, watu ambao hawajui hatima yao kesho ninini.

Hii imepelekea kuonekana uongozi wake ni mbaya, au uongozi wake umekua kinyume na matarajio ya wengi.
Lakini kiujumla ni kiongozi mzuri sana ila eneo analo ongoza , aina ya uongozi wake hautakua na matokeo mazuri.

Yote ya yote ajaliwe hekima, nguvu amani na furaha.

Heri na furaha ya siku ya kuzaliwa.
 
Kila La Heri Mpendwa Wetu
Dkt Samia Suluhu Hassan
Rais Wa JMT
CHIFU Wa Machifu
 
Happy birthday mh raisi, Ila safari hii mbona kimyakimya sa sijui haka kambuzi kangu katakufikiaje!?
 
Halafu mama umwalike na yule MTU WAO ili aambulie japo kidogo kibuyu cha asali kichobakia ili sauti imtoke vizuri kwenye mikutano yake.
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

View attachment 2496748

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Naunga mkono hoja
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf well wishers, tuungane kumu wish a Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
IMG-20230127-WA0000.jpg

Happy Birthday
P.
 
Happy birthday dear Chami, our lovely president.....huna baya mama, uishi Hadi uishi tena, kwanza wazuri hawananiii.....ila wewe hata ukinanii huozi.
Happy birthday our first female presidaàa......
Dj nisindikize na nani kama mama🥰
 
Naunga mkono hoja
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf well wishers, tuungane kumu wish a Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makanisa yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
View attachment 2496839
Happy Birthday
P.
Mzee mwenzangu unazeeka vibaya, mambo ya kabila yanaingiaje katikati ya sherehe?!!!
Dj msindikize P na wimbo wa pita huku😂😂😂😂
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

View attachment 2496748

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Mbutama Elamu Le President!
 
Naunga mkono hoja
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf well wishers, tuungane kumu wish a Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
View attachment 2496839
Happy Birthday
P.
Muda mchafu huo unatoka wapi
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

View attachment 2496748

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Alizaliwa katika Nchi ya Zanzibar !! 😅👍 nimeipenda hiyo sentensi !! Katiba mpya ni muhimu kwa kweli !!
 
tunashare birthday mwezi mmoja.

Mine is 2nd January.
 
Leo anamiaka 63, ikifika January 27 2025 anakuwa na miaka 65 (anazidi kuwa bibi) still bado anataka kugombea uraisi? Aje astaafu 2030 na miaka 70! Ataiweza nchi katika huo umri wa uzee?
Joe Biden ana miaka 80, anaongoza taifa kubwa kama Tz mara 4 kwa eneo, kama Tz mara 5 na zaidi kwa idadi ya watu, Tena wenye akili nzuri (high intelligence), (kumbuka ni rahisi kuchunga ng'ombe hata 100 kuliko kuchunga binadamu wawili au watu).
Kwa hiyo atakuwa hajachoka sana, ila ni kuomba Mungu tu ccm isifike muda huo maana imechakaa mno.
 
Back
Top Bottom