Yule karani wa NIDA hana akili. Amekosea kuandika birthday yangu. Birthday yangu ya October 27,yeye kaandika Januari 27. Sasa watu wa TIGO wamenitumia message ya Happy Birthday.
[Talking about Happy Birthday,inakumbusha siku moja nimekwenda ghetto nimempa mtoto keki
ina cream. Mtoto mdogo( hajafikia umri wa kuongea coherent statements).,mtoto akasema," Umenipa "tuyu" Sasa mimi sikuelewa ana maana gani. Halafu yule mama yake akasema,"Ndiyo,Babu amekupa Happy Birthday to you.'']
Halafu yule dada idiot. Alitaka jina langu pia akosee kuliandika. Wenzake wakamwambia,we hapa umekosea,yule tunamfahamu.
Lakini what does it mean kama karani wa NIDA akiniambia mimi birthday yangu ni Januari 27? Should I take to mean kwamba it portended that this (Samia)Lady would be president?