Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Happy Birthday Rais wetu, Mungu akujalie afya bora, maisha marefu na uongozi wenye mafanikio
 
Joe Biden ana miaka 80, anaongoza taifa kubwa kama Tz mara 4 kwa eneo, kama Tz mara 5 na zaidi kwa idadi ya watu, Tena wenye akili nzuri (high intelligence), (kumbuka ni rahisi kuchunga ng'ombe hata 100 kuliko kuchunga binadamu wawili au watu).
Kwa hiyo atakuwa hajachoka sana, ila ni kuomba Mungu tu ccm isifike muda huo maana imechakaa mno.
Happy birthday mamaa prezidaa. God bless you.
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Catastrophe
 
Happy birthday kwa Mama yetu mpendwa SSH. Nuru ya Watanzania
 
Live longer Her our legendary President SHS Happy birthday day.
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
HAPPY BIRTHDAY 🎂 TO our President Dr Samia Suluhu Hassan ! Mungu akupe maisha marefu na Afya njema na Busara tele 🙏🙏🙏🇹🇿
 
Leo anamiaka 63, ikifika January 27 2025 anakuwa na miaka 65 (anazidi kuwa bibi) still bado anataka kugombea uraisi? Aje astaafu 2030 na miaka 70! Ataiweza nchi katika huo umri wa uzee?
Hii nayo umeona ni hoja. Omba nawe Mungu akujaalie umri mrefu upate muda mrefu wa kumtumikia. Uzee dawa.
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Happy birthday 🎉🎉🎉 mama uishi miaka Mingi....

Kwa moyo mweupe kama theluji....

Kazi iendelee.....Watanzania Tunakupenda sana....

Happy birthday 🎂🎂 madam president
 
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani.

Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi ya Zanzibar, ilikuja kuungana na tanganyika mwaka 1964 na kuunda taifa la Tanzania.

Mtakie Rais maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
USSR
Ninakutakia Heri Nyingi, Afya Njema na Umri Mrefu Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa uliyeweka rekodi barani Afrika. Bado tunakuhitaji utuvushe na tuvuke wote katika kipindi hiki cha misukosuko ya kiuchumi duniani. Mungu aendelee kukulinda.
 
Wakati Tanganyika inapata Uhuru alikua ana mwaka mmoja tu, hajapitia kashi kashi za Ukoloni [emoji851]

Happy womb escape Madam President.
 
85786542-8a8c-4fc2-871e-3646c00120f4.jpg

Wakati tunakumbuka siku ya kuzaliwa kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nipende kuwakumbusha sababu ya kumtakia Maisha marefu na yenye furaha na mafanikio kwa mengi aliyofanya kwa Taifa hili kwa kipindi hichi kifupi katika nafasi ya Urais.

Kutambua umuhimu wa elimu kwa taifa hili na kuchukua hatua ya kuboresha miundombinu ikiwemo ujenzi wa madarasa, kuajiri walimu wapya, ujenzi wa mabweni kwa shule za Sekondari za Watoto wa kike, kuongeza fedha na kuhakikisha wanafunzi wanaoingia vyuo vikuu wa wanapata mikopo ya kuwawezesha kusoma na kujikimu kipindi cha masomo yao.

Jitihada hizi sio tu zimefikia malengo na kutatua changamoto katika sekta ya elimu bali zimepitiliza na sasa sio wazazi wanaohimiza serikali kuboresha sekta ya elimu bali ni serikali inahimiza wazazi kupeleka Watoto wao mashuleni kwani nafasi zipo na elimu ni Bure bila malipo yoyote.

Unapo sherehekea siku yako ya kuzaliwa jua walimu wote na wanafunzi wa Tanzania tunajivunia mafanikio haya na tunakuombea maisha marefu na yenye mafanikio zaidi kwako na kwa Tanzania kwa ujumla

[emoji322][emoji512] HAPPY BIRTHDAY MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN[emoji512][emoji322]
 
Back
Top Bottom