Happy birthday pakajimmy

ping pong ping pong ping ping ping.....this is how we say happy b'day in kikwetu....tunaibinjulia wapi hii leo jamani jamani?
 
Tunaimalizia pale FRC Mikahawani...mambo ya swimming, na gym, bila kusahau choccochino!
 
Hivi nikitaka kujipa "Thanks" nafanyaje??

Mods hebu adjust vitufe kwenye hii PC yangu, naona hakipo
Bonyeza hako kadude ka senksi chini ya posts zangu, ntakuwa nakurushia copy (utasamehewa dhambi zako zote za Infidelity ukizingatia sijawahi pata senksi yako)

Hizo ni hasira za kufungwa ZA jana... NO MORE VUBUZELAS and NO MORE INFIDELITY
Hahahaha! jana Vuvuzela yangu iligeuka kuwa filimbi....
 
PJ mbona husemi kama baadae kuna get together somewhere masanga na nyama choma ?
 
Bonyeza hako kadude ka senksi chini ya posts zangu, ntakuwa nakurushia copy (utasamehewa dhambi zako zote za Infidelity ukizingatia sijawahi pata senksi yako)

The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Askofu (Today)​
 
The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Askofu

Mapadre kwa herini, mimi sasa ntakuwa nainjilishwa na maaskofu and above...........:hail:
 
:pray2:... Asante Mungu kwa kusikia sala za mtumishi wako:angel: (No More):horn:and Instead :tea:
 
Hamada umelewa! weee hamada! Hamada umelewa!
Hamada tokea utotoni jeuri sana!
na leo unasherekea siku yako ya kuzaliwa hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaa..
Hamada umelewa! Hamada umelewaaaaaaaaaaaaaaaaaa...from Bi Kidude binti Jamali....

Pj hii ni dedication kutoka kwangu! naomba usake huu wimbo uusikilize...
 
We tetee aa teteteteee agrrrrrrrrrrr hebu nisaidie kulitamka jina lako dada/kaka yangu. LOL
 
Hongera PJ and HAPPY BIRTHDAY, Mungu akutangulie, be blessed and celebrate well. :party:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom