Happy birthday pakajimmy

Askofu

JF-Expert Member
Feb 14, 2009
1,664
86
...:cheer2:...MAY YOU LIVE TO BLOW 101 CANDLES (Without Viagra)...:peace:... :amen:
 
Hongera sana PJ, Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio
 
Hongera sana PJ.......Happy bday...Mungu akuzidishie maisha marefu na daima akuongoze uzidi kuwa mwema kama ulivyo sasa
 
Mala hii umeshafikisha miaka 71 my shemeji kweli siku hazigandi
Birthday_balloon.gif
Mwenyezi mungu akujaalie maisha mema na marefu we love u
 
SO u have reached an advanced maturity! Happy birthday PJ!
 
Du hongera mkuu, ungekuwa unatokea ire pande ya kure kwetu leo ungevurumishiwa bonge la ugali wa mhogo na samaki wa aina ya sato!.
 
Huh...this's the best of the days to me!...maana parents wangu walinisimulia kuwa ndo niliyozaliwa!...Lakini bado nauliza swali...How to count my age?..is it from the day i was conceived, or the day i was born?I might be older than iam said to be!!
 
PakaJimmy unaanza kuhesabu siku ya kwanza uliyovuta pumzi ya duniani ..be blessed :humble::tea:
 
Mshukuru Mungu kwa Punzi ya kwanza alokupa na ukaanza kuhesabu miaka, Endelea kumshukuru kwa kukupa zawadi ya maisha bure na kukuongezea miaka ya kuishi ili uwe mwanga na chumvi kwa wote wanaokuzunguka.

Shereheka vyema siku yako ya kuzaliwa!
 
Huh...this's the best of the days to me!...maana parents wangu walinisimulia kuwa ndo niliyozaliwa!...Lakini bado nauliza swali...How to count my age?..is it from the day i was conceived, or the day i was born?I might be older than iam said to be!!

As from the day you were born... ndio maana tunasema "Birth Day" na sio "Conception Day" (mara nyingi haijulikani)
 
Mi niko interested na kaumri kake. (kuna dada yangu anatafuta mume)

How Old Are You Now PJ?

Happy birthday biggie! Una bahati bro, birthday wishes zimeanzishwa na askofu( japokuwa mapepe):party::party::party:
 
Hizo ni hasira za kufungwa ZA jana... NO MORE VUBUZELAS and NO MORE INFIDELITY
 
Hivi nikitaka kujipa "Thanks" nafanyaje??

Mods hebu adjust vitufe kwenye hii PC yangu, naona hakipo
hivi baba mchungaji ungependa senksi ngapi kwa siku!nimeamua kujitolea kukupa senksi mpaka utakapochemka!halafuuu,tunaonana lini madhabahuni?
 
Nataka za kujipa mwenyewe... si uliona kule....:gossip:... Wengine wanazibania... (Skipu Weldi Kapu uje kwenye misa ya usiku)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom