hapa naona wajukuu wameweka kambi!
Ngoja nitoe salamu zangu then misepe!
ODM, tukutane pale King Star au Zero pub nikupe maziwa yako!
Haeri ya kuzaliwa kiongozi
Naam..mimi Ankal wako, Sweetie ni Auntie yako....wewe unakuwa mpwa wetu (niece)
Vipi utanisaidia kubeba makreti ya castle light?
Si umeona mwenyewe wajukuu wanavyopigana vikumbo hapa? Hayo maeneo ndo mwake hommie utanikuta counter ya juuAisee hommie we acha tu....ila hayo maeneo ya makutano hayo....
Naam..mimi Ankal wako, Sweetie ni Auntie yako....wewe unakuwa mpwa wetu (niece)
Vipi utanisaidia kubeba makreti ya castle light?
ankal tunatoshaaaaaa.
Kimey habari ya siku kaka?
Orait twen zetu....muda unaenda ivo....tusije chelewesha vinywaji breweries leo kuna foleni,
Halafu nimekumbuka hivi hatutahitaji ice cream za azam tupitie kabisa?
Kimey habari ya siku kaka?
Nipo poa AD, hapa namuandalia ODM ile kitu roho inapenda!Kimey habari ya siku kaka?
Hommie Kaizer hebu msikilize switi wako hapa! Usilete ukabaila wako tukaharibu sherehe ya babuSweetie I need a Man's helping hand hapa.... Shem RR kama kawaida huja wakati kazi zooote zimeisha, What if nikiwa na Kimey hapa? :eyebrows:
tunahitaji za kutosha, si unajua mwali hanywi maji ya dhahabu? Yeye atalamba icecream.
Sweetie I need a Man's helping hand hapa.... Shem RR kama kawaida huja wakati kazi zooote zimeisha, What if nikiwa na Kimey hapa? :eyebrows: