happy bday babu,sasa vile we ni mtoto mzee zawadi gani itakufaa?mi najito. Mwenyewe kama zawadi ntakuwepo kwa ajili ya kukukanda kanda mgongo,sidhani kama iyo kazi imepata wakuifanya,eti Ashadii?
Sweetie huyu Mpolee umempangia kazi gani....kama vipi anisaidie kusomba vinywaji....maana kina TF siwaoni. Mr rocky sijui kalala wapi jana:A S embarassed:
Usipate tabu ntawasimamia
king'ast anawaza tu ataazima wapi kope, makalio na viatu
ngoja nichukue na bakora
lazima hii kazi ianze kwa wakati uliopangwa.
hahahahahaha.... You ain't touching hapo with my acknowledgment Love.... Mpole katangaza she ain't Mpolee no more... She is Golden; Get that? Labda uende na Mwali, Daughter, Obsesd, Feis buku, Smiles au Cantalisia....
Finest ile safari ya mazishi imemchosha alifanya kazi kubwa saaana. Rocky will be here soon! lol
AshaDii mwelekezee Kongosho aje achukue ufunguo wa store ya vinywaji si unakumbuka tulifunga kwa afya ya mgonjwa?
Pia usisahau kuwa Golden Mpolee ni kitukuu cha kwanza cha Babu, so upangie light duties kama kupuliza maputo, kupamba cards zitakazoletwa na wageni.
Na hao kina king'ast wakumbushe kumtafutia Bibi nguo ya kuvaa huko shopping kwao maana hakawii kutuvalia lile gauni lake la shamba.
mpole hebu punguza diet kidogo unakoelekea sio...ile nguo itakutosha kweli?
Nimeipenda hii familia. Imempokea Golden mpolee kwa mikono miwili. sasa nani ni nani?
Sweetie that mission itaiba dakika 30 tu za siku ya ODM, Hizo dakika zatosha kuoga, kuku massage and you know what, ukitoka hapo utakua rejuvinated hun'.... Enything else?
Maana JG tayari yupo na Preta katika maandalizi ya Music, tushaambiwa sytle ya kuingia ni Kiduku! lol
Nimeipenda hii familia. Imempokea Golden mpolee kwa mikono miwili. sasa nani ni nani?
AshaDii mwelekezee Kongosho aje achukue ufunguo wa store ya vinywaji si unakumbuka tulifunga kwa afya ya mgonjwa?
Pia usisahau kuwa Golden Mpolee ni kitukuu cha kwanza cha Babu, so upangie light duties kama kupuliza maputo, kupamba cards zitakazoletwa na wageni.
Na hao kina king'ast wakumbushe kumtafutia Bibi nguo ya kuvaa huko shopping kwao maana hakawii kutuvalia lile gauni lake la shamba.
Orait....Sweetie AshaDii kama hujamfahamu, ndo mai waifu wangum ODM ni hommie wangu, na shemejiye AshaDii, King'asti na Sweetlady ni maumbu zake my wife wangu....Mwali na Husninyo ni Wapwa zangu, ila Mkaguzi mkuu wa wajukuu ni ODM ambaye leo amezaliwa na mi ndo mwenyekiti wake. Kuna MJ1, huyu ndo Kiranja wa wajukuu wote, kabla hawajapita kukaguliwa anawakagua yeye kwanza. Rejao ni mtoto wa 'nje' alikuwa amepotea sasa tumemrudisha (ila naona kama mnafahamiana kidogo). Tumewaaalika wageni na majirani wengi tu, ila kwenye kila kamati ndo kama ulivoona.
Una swali jengine Mpolee? Hebu niambie (pole pole) Mpolee ni nani.....lol

Golden Mpolee welcome to the familiy Dearest.... Hapa bana MJ1 ndio mjukuu mtiifu wa babu, (yeye MJ1) Kakunambe kitukuu cha babu, utatufahamu taratibu.... Kikubwa mimi ni auntie yako na Kaizer ni uncle wako umeelewa?
Sio kwamba hatuaminiani dear.... you want the truth Golden Mpoleee?? (sio kwa nia mbaya lakini)
kwa hio inatakiwa nimwite uncle... yeye uncle karidhia? teh teh teh
Da Ashadii jiachie usiogope, Golden Mpole bado mpole!