Mwali hujachelewa... Come this way..... ADI chondechonde festiledi asiingie jikoni, bibie anadokoa mpaka maji ya ugali huyo!
Mwali hujachelewa... Come this way..... ADI chondechonde festiledi asiingie jikoni, bibie anadokoa mpaka maji ya ugali huyo!
Anti si unaona mwenyewe? Babu ananitaka mimi ndio nikae nae... Ila kwa vile mimi nimtiifu ngoja nikatoe zile sahani, nizisuuze na kuzipanguza vizuuuuuri alafu nirudi kwa babu anikatie hadithi.Naona wajukuu mna hamu na babu... Kuwe na shift kidogo... Michelle saizi zamu yake si umeona alitaka kulia hapo? Wewe saizi hakikisha vile vyombo spesheli kabisa vile vitatumika kama havijapitiwa na vumbi....lol
Tangu lini mtoto akala nyama. Tumia mimi tiketi ya KQ niende kliniki Johannesburg kupata chanjo ya polio. Na ile chanjo inaendana sana na Jack Daniels. Tumana na hiyo pia.zawadi usijali.....ni ndafu iliyonona na mbaya zaidi naitengeneza mwenyewe....unataka ya kuchemsha au niichome kawaida......?
Afu nani atafanya usafi toilet? Patia yeye hiyo kazi, asaidiwe na Lizzy.lol..... Khaaa!! Hio kali... hata hivo msimamizi ni Happuch, sehemu nyingine ya kumpachika hamna, else tumpe kazi ya ku iron nguo za sherehe.
Preta nasikia wewe ni mmoja wa watao shughulikia entertainment? umetuandalia nini?
Ndege mtini usikose, naupendaje wimbo ule!kwanza kabisa naomba uwaeleze waalikwa waelewe kuwa....wimbo wa kuingilia ukumbini ni kiduku....hivyo basi ambae hatacheza kiduku atatolewa nje....zaidi ya hapo yanayofuatia ni sapraiz....
Ndege mtini usikose, naupendaje wimbo ule!
Babu yetu mjanja huyu, hata AshaDii hamuwezi! alishtuka kabla yetu sote na kujitakia mwenyewe happy birthday. lolHeri ya siku ya kuzaliwa kwako Asprin!
Mungu akujalie na kukuzidishia....
Asha, mi nldhani hii party mnaitupa kwa surprise kwa huyu babu? Sasa naona anaingilia shughuli za kamati yako.... Imekuwaje?
Babu yetu mjanja huyu, hata AshaDii hamuwezi! alishtuka kabla yetu sote na kujitakia mwenyewe happy birthday. lol
Hata hivo hakuna kilicho haribika, hatujapata DJ... Preta ndio ana coordinate entertainment (music, MC, etc) ila DJ kama DJ hatujapata. Njoo tu.hahahahahahaha kaaazi kweli kweli hawa mababu wa mjini, sema nlkuwa mbali ningemwambia doc amu-overdose ili atupishe kwenye kamati bana!
Happy Birthday Dawa ya maumivu
nimekumiss twiny