Michelle; ahsante kwa kuniamsha.... Am humbled (source: ADI)
ADI; Ahsante kwa huu waraka na wishes.... nimeuprint asubuhi matesha atanisomea wakati napiga kinanda.
YES It Is My Birthday.
Ngoja niandae manywaji. Dozi itanisamehe wallah. Damn! Nazidi kulisogelea kaburi....dah!
Am humbled Babu (Source ADI).....!
Ni wajibu wangu ninaoupenda sana kukuamsha Babu.....!!
Ngoja sasa nikanunue vitu vya sherehe,baki hapa na ADI kwanza hakuwepo nyumbani muda mrefu!
Michelle hivi wajua wewe na Happuch mko responsible kwa mapish? na mimi ngoja nitoke nikamalizie maandalizi.....
Hivi dada ADI ni kwanini mimi tu ndo hupangiwa jikoni na upishi kila sherehe jamani? Kwanini msinipe kazi ya kumuhudumia Babu,bibi apumzike??
Am humbled Babu (Source ADI).....!
Ni wajibu wangu ninaoupenda sana kukuamsha Babu.....!!
Ngoja sasa nikanunue vitu vya sherehe,baki hapa na ADI kwanza hakuwepo nyumbani muda mrefu!
Sante bidada. Hujatangaza zawadi ujue. Ishu ya tabasamu hilo hata usijali... Kuna wakati kwenye msiba flani nililia sana, ajabu watu wakanambia mbona unatabasamu msibani? Sasa jiulize nikiachia tabasamu lenyewe inakuwaje? Mama matesha ana bahati sana wallah!Happy birthday Odm....dah...Mwenyezi Mungu akupe nini tena zaidi ya afya njema na tabasamu lenye bashasha wallah....
Dah, Michelle kaniwaki hakyanani...
Ngoja lakini na mimi nijitahidi kuipata attention ya babu:
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday dear Aspirin,
Happy birthday to youuuuu
:clap2:
AshaDii mi naomba nikae na babu tu, nimkeep company hadi atakapo amua kutoka kitandani. lol
Sante bidada. Hujatangaza zawadi ujue. Ishu ya tabasamu hilo hata usijali... Kuna wakati kwenye msiba flani nililia sana, ajabu watu wakanambia mbona unatabasamu msibani? Sasa jiulize nikiachia tabasamu lenyewe inakuwaje? Mama matesha ana bahati sana wallah!