Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Well, mi ntapiga gines tatu kwa afya yako.
Lokesheni: Boko Basihaya, Fyatanga Bar.
keki ya asili hyo. Google hawaijui
umeona eeehhhh.... hilo litakuwa likeki la muhogo ndo maana hata gugo halilitambui lol.....
Thank u alot Jiwe. Tuko pa1
sweetlady pamoja na ugonjwa lakini bado ana jeuri sana siji naye. ntakuja na my Lily Flower
pouwa mkuu, nasikia wamekuteka mwanza kweli...
Maneno hayo yametokea wapi? Aisee