Happy Birthday nameless girl

Happy Birthday nameless girl

Ha!ha!ha!ha!ha! hivi na wewe nameless girl umezaliwa!!!!

Kwa uzuri na urembo wako nikajua umedondoshwa....

Hongera kwa kuzaliwa mpe hi baba na mama yako kwa kushikiana na kuzaa chema.

Lol... ntakuja kukujibu baadae ila Thank you kwa kunipa hongera ya kuzaliwa...
 
Last edited by a moderator:
Fashion+and+Make+up+big.jpg


Happy birthday nameless girl
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom