Happy Birthday nameless girl

Happy Birthday nameless girl

Happy birthday ya siku yako ya kuzaliwa nameless girl. I WANNA GIVE U A NAME U KNOW..
 
Last edited by a moderator:
Una akili sana kijana. Popote ulipo nameless girl, kam zis way chapchap nikubatize jina uitwe mjamzito.

Hahahaaaaaaa babu bwana.... kwa umri wako hata maini yako yatakua yamezeeka lol... ila maneno yako hata hayana dalili ya uzee..
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa babu bwana.... kwa umri wako hata maini yako yatakua yamezeeka lol... ila maneno yako hata hayana dalili ya uzee..

Usiangalie maneno yangu bali makunyanzi yangu na idadi ya kilo za chumvi nlokula. Yani kama si babu yako kuniwahi, ningezaa na bibi yako you know?
 
Back
Top Bottom