tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Happy birthday docta.
Sisemi kitu mpaka MziziMkavu aje hapa!
Bibie Mrembo by Nature Ndio mimi nipo facebook Asante kwa kunipongeza na kuniwahi kunitolea Salam zangu za Happybithday ninatimiza miaka leo ikifika saa 6 usiku asante sana Mungu akubariki kwa kunikumbuka.I have a face book friend whose name is Mzizi Mkavu, I am not very sure whether this is the same @MziziMkavu we have at JF. If you are the same then this message belongs to you.
"Dear Mzizi I may not be by your side... celebrating your special day with you..But i want you to know that i'm thinking of you... & wishing you a wonderful birthday @mzizimkavu !!"
From MBN
nadhani zimemfikia..
Mmhh hata hakumbuki yuko porini kuchimba mizizi!
Kwa alivyoniburudisha na majanga nitakuwa sijamtendea haki nisipomwambia happy birthday
Ukop wapi MziziMkavu ?
Kama ni kweli....happy birthday MziziMkavu
Happy birthday mtabibu!!
HBD Kiongozi, mzizi mkavu hauchimbwi dawa.
Happy Birthday
happybirthday tabibu
Kama ni yeye, HBD daktare.
Happy birthday mkuu.
!
!
ni kwamba kama umetoa mwaka mmoja katika ile jumla ya miaka ambayo ulitakiwa kuishi.....sasa sijui nikupongeze au nikuonee huruma
Ngoja tumsubiri aje kuthibitisha...
Miye niliburudika na 'malkia wa masokwe! Barabara! Happybday Mzizi
happy birthday to you!!!!!!!!!1
happy birthdate maalim
Kama si yeye basi naipokea mimi, maana it is also my B'day.
Ila kama ni yeye, HBD pacha.
Sisemi kitu mpaka MziziMkavu aje hapa!
Happy birthday docta.
Hongera sana
Mkuu Mzizi Mkavu,uishi maisha marefu.
Happy birthday MziziMkavu,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na mafanikio tele!
Happy birthday Kaunga, nasubiri uthibitisho toka kwako MziziMkavu
Kwakweli hata miye. Huenda kule fb si yy!
Asanteni wote muliochangia hiiMziziMkavu sema neno ili upate haki yako.
ninakaribisheni huku nilipo Ughaibuni kwenye Sherehe yangu ya kuzaliwa ninawakaribisha wote karibuni na asanteni kwa kunipongeza Mungu awabariki
nyinyi wote.
Hongera kijana ....Uko chimbo (nchi ) gani nitafute ungo wangu nipae kutoka milimani kwetu nihudhurie mwaliko huu??