Happy birthday mzizi mkavu

Happy birthday mzizi mkavu

Sehemu niliyopo mimi huwezi kufika ni machimbo Heavy na hawezi kufika binadamu yoyote ile ila mimi tu. Nipo kwenye Machimbo ya Ufo nipo na Viumbe Ufo angalia hapo chini

UFO-EARTHLINGS.jpg


Ndege ya Ufo hiyo.

UFO-festival-in-Roswell-N-008.jpg


Viumbe hao Ufo wenyewe.

Moonbeam_UFO.JPG


Ndege yetu hii hapa nina Chat na wewe nipo ndani ya ndege.

Hahahaha eti ufo.....nilijua ufoo saro mie haha
 
heri ya siku ya kuzaliwa MziziMkavu . Uwe na maisha marefu kuliko jiwe na Mungu akujalie wepesi zaidi ya upepo
 
Last edited by a moderator:
Bibie Mrembo by Nature Ndio mimi nipo facebook Asante kwa kunipongeza na kuniwahi kunitolea Salam zangu za Happybithday ninatimiza miaka leo ikifika saa 6 usiku asante sana Mungu akubariki kwa kunikumbuka.

















































Asanteni wote muliochangia hii

Thread ni kweli niko kwenye facebook ninatumia jina hili hili la Mzizimkavu hakuna mtu mwengine anayetumia jina langu. Leo

ikifika saa 6 ninatimiaza miaka 48 asanteni wote kwa kunipongeza ninawashukuru wote wanachama wenzangu wa Jamii

forums na Ma Moderator wote. Sina cha kuwalipa Mungu ndie atakaye walipa ninakaribisheni huku nilipo Ughaibuni

kwenye Sherehe yangu ya kuzaliwa ninawakaribisha wote karibuni na asanteni kwa kunipongeza Mungu awabariki

nyinyi wote.
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Leo wewe una kitu 50 na kidogo. Bisha! -Yote kwa yote Happy Birthday MziziMkavu, you are now 50+!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom