Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Simjui ni moderator?Leo humjui mshana wako duh! Unajua kukana we dada upo vizuri..😂
Simjui ni moderator?Leo humjui mshana wako duh! Unajua kukana we dada upo vizuri..😂
Niweke 💬 zako hapa?? Na picha za shela na peteNaona tule tumzimu twako tumeanza kukupanda! Labda shela la majani ya mihogo..🤣
😂😂😂😂Mtu kutoka kuwa mganga mpk kuwa moderate mh!
Asante babu mchoyo😂Ahsante Bibi mchoyo..
Kila la kheri mkuuUtasubiri sana