Happy birthday my dear JUDGEMENT

Happy birthday my dear JUDGEMENT

Wape hii.....
watasema sana tid - YouTube

Nawewe mdogo wangu usinikarahishe dadayo, Kwani yule mpemba wa jirani hakuwa na Mnara?

Mnara hauboreshwi kwa urojo wa viazi! Aliukimbia kwa kupoteza signal! Akaufata wenye full vigezo!
Mnara wa mpemba ukikamata signal once per weak! Sijui mlitaka ndg yenu awe mkobani hapakosekani thermos ya majimoto!?
 
uniachie mzinga wa
whisky yangu ile
nayokunywaga!
nitakuja mida ya saa mbili
na ndugu yako!

Ni wewe tu shem! Afu mbona nimekuskia nung'uno kua unahisi Loya anataka akutoroke kuja kwa mnuso? Asa ukiona hivyo jibu ni ww kuanza kumpunguzia maufundi na maubunifu!
Kifo cha kokrechi daily? Hakilipi! Sometyms unampa kwa style ya kama kuku anavyobanikwa!
 
shem acha basi
mi nimesema nahis atanitoroka
sio yupo na kideti bana halafu maujuzi
hapa yamejaa,kifo cha kokrechi hakina nafasi!
kapagawa ila leo anaweza nitoroka coz naweza mdai
udongo na limao mbele za watu bureeee!

Mwee!
Loya huyu kumbe hachezi na mda kama mie?
Hii couple yenu si ya juzijuzi tu! Mara keshakudunga? Au shem hiyo umekam nayo?
 
Mwee!
Loya huyu kumbe hachezi na mda kama mie?
Hii couple yenu si ya juzijuzi tu! Mara keshakudunga? Au shem hiyo umekam nayo?

ya nduguyo hiyo
tucheleweshe nini wakati
uwezo wa kulea hata mia
tunao?mihela na mijumba yote
nitawafyetua kama mashine nakwambia!
 
Taratibu shem! Maanake wee huwezi fyetua mpaka kwanza Loya akufyetue wewe!
 
Last edited by a moderator:
Judgement.. Viagra jeee..?

Hili swali , kiukweli halikua langu! Lilipashwa lijibiwe na Mamsap!
Coz ndiye anajua vigezo vya mtarimbo wangu! Kwamba hua unategemea upewe lifti ama laa!
Mi nikisema itakua kama najisifu.
 
Last edited by a moderator:
Hili swali , kiukweli halikua langu! Lilipashwa lijibiwe na Mamsap!
Coz ndiye anajua vigezo vya mtarimbo wangu! Kwamba hua unategemea upewe lifti ama laa!
Mi nikisema itakua kama najisifu.

shem wangu sosoliso huo mnara signal zake sijapataona, hapa nina mpango kuwapigia kampuni husika wanisaidie kupunguza walau bar moko kama inawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Mwee!
Loya huyu kumbe hachezi na mda kama mie?
Hii couple yenu si ya juzijuzi tu! Mara keshakudunga? Au shem hiyo umekam nayo?

Unamshangaa Passion Lady, mi mwenyewe sijielewielewi hapa isijekuwa kijiti kimenikatikia. Hebu tufunge ndoa nisije kutapikia mashehe bureee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom