FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,848
- 9,688
Ni mzeeNdio ni mrembo
Ni mzeeNdio ni mrembo
Hiyo keki ya upare, mmmh ngoja tuoneHappy birthday to her..
Haya keki wapi..?
akili za kipombepombeView attachment 2219754
Happy birthday kwa mtani wangu
Mungu aendee kumremba
Afu hii ya "ushirikiano wa watu wa tatu" afu mmoja wao ni Mungu imekaaje? Kwamba Mungu ni mtu?
Hivi wapare mkoje lakini?
Gari nimenunua mkuu hilo ni third part sio sehemu yangu.. Nikizaa mtoto huyo ni sehemu yangu na nimezaa wa kufanana nami. Naaamini unajua siwezi kuzaa mnyama ama kitu kingineMmhh mkuu tafsiri yako kama chaka hivi.mfano nikisema mshana kanunua gari la mfano wake hapa mtaani unapata picha gani??hapo maana ni mbili na maana ya kwanza umenunua gari linalofanana na wewe( kwa maana gari la mziki mkubwa na gharama kwa kuwa ni vitu upendavyo na unaendana navyo) ila maana ya pili (ambayo ndiyo inatuchanganya tulio wengi )ni kuwa umenunua gari la kipekee mtaani na hakuna mwingine mwenye gari kama hilo.kwa maana pia Mungu alituumba sisi binadamu ni wa kipekee kwa maarifa na utashi kuliko kiumbe kingine ambacho hakina mfano mwingine.wajuzi waje kuongezea nyama
Asprin banaView attachment 2219798Tena mrembo kwelikweli
Mpwa una file lake huyu mrembo?
Hakuna niliposema ni binti lakini.. Urembo ni kitu cha asili ama unamaanisha urembo feki wa kununua dukani? Hapana huyu hana huo urembo.. Basically there is inner beauty huo hauchakai wala hauzeeki..Achana na huu mwili uharibikaoNi mzee
SanaNakwende ni mrembo?
Mtani mbona Kama wanichamba hivi.Mwaliko ni hiari kwani umelala njaa? keki haziliwi asubuhi
Yani weweHappy birthday to her..
Haya keki wapi..?
Semwa tu ndugu usituvike vazi si letu..😅
Nimekuwaje..?Yani wewe
Haujawa kituNimekuwaje..?
Yaani kwamba ni wivu na roho mbaya, acha hizo mtani