Happy birthday mrembo NAKWEDE

Mmhh mkuu tafsiri yako kama chaka hivi.mfano nikisema mshana kanunua gari la mfano wake hapa mtaani unapata picha gani??hapo maana ni mbili na maana ya kwanza umenunua gari linalofanana na wewe( kwa maana gari la mziki mkubwa na gharama kwa kuwa ni vitu upendavyo na unaendana navyo) ila maana ya pili (ambayo ndiyo inatuchanganya tulio wengi )ni kuwa umenunua gari la kipekee mtaani na hakuna mwingine mwenye gari kama hilo.kwa maana pia Mungu alituumba sisi binadamu ni wa kipekee kwa maarifa na utashi kuliko kiumbe kingine ambacho hakina mfano mwingine.wajuzi waje kuongezea nyama
Gari nimenunua mkuu hilo ni third part sio sehemu yangu.. Nikizaa mtoto huyo ni sehemu yangu na nimezaa wa kufanana nami. Naaamini unajua siwezi kuzaa mnyama ama kitu kingine
 
Hakuna niliposema ni binti lakini.. Urembo ni kitu cha asili ama unamaanisha urembo feki wa kununua dukani? Hapana huyu hana huo urembo.. Basically there is inner beauty huo hauchakai wala hauzeeki..Achana na huu mwili uharibikao

 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom