kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
Na Hivi nyie wawili mnajua kuwa Ukristo na Uislamu zote ni dini za kuabudu mizimu? Kwamba mizimu hiyo ndiyo kiunganishi cha watu kumfikia Mungu? Kwamba kuna Mzimu Muhammad na Mzimu Yesu? Na kwamba Wanaoabudu Mizimu kwa majina mengine katika Afrika nao wanamwabudu Mungu?
Na kwamba Ukristo na Uislamu ndo walewale? Kwamba wamekaa kisiasa zaidi Kuliko kiroho zaidi! Kwamba Ukristo na Uislamu watuache waafrika tupumue!
Tuacheni tumue!!!!!!
Umue nani?
Nyie si ndio mnao abudu wake zenu nyie!
Halafu unakuja mwaga povu hapa!