Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Kumbe kufuga ndevu ni njia mojawapo ya kuepusha ndoa za jinsia moja?MKUU wajapani wanazo ndevu! na japo sio nyingi! Allah kawapa maumbile yasiovutia sana km hawa wa kwetu!!
we unakuta mwanamme kajaa km dada zetu! halafu mashavu kasafisha! anajipulizia yale manukato ya kike!! halafu kuna wengine wanajipaka mikorogo eti wawe" handsome"
matokeo yake ndo hayo! laana imesambaa mpaka kwenye hizo nyumba zinzoitwa za BWANA!!
si ndio laana
Kwa mfano wewe binafsi, ukimuona mwanaume kajaa kama dada zetu, halafu mashavu kasafisha, anajipulizia yale manukato, huwa unawatamani?, au sheria za Allah haziruhusu kwa mwanaume kufanya haya?