Happy Birthday, Mr. President!!

Status
Not open for further replies.
Wewe Nonda, mwakilishi wa Mungu ni nani? Mbona simfahamu.
 
Wewe Nonda, mwakilishi wa Mungu ni nani? Mbona simfahamu.

Teh teh teh teh!
Yaani wewe umemshinda hata huyo mungu wako!
Kila ukifufuka! Unajibatiza jina lingine!!
Halafu mwenzako alifufuka pasaka tu!
Wee anytime! Teh teh teh teh!

Sasa je umekubali kuwa huyo mungu wako anatarehe ya kuzaliwa!?

Na zile video ustadhi Nonda alizokutumia umeziona!?

Teh teh teh teh!
Ugalatia unataka moyo nyie!!!!
Si mchezo!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nonda, mwakilishi wa Mungu ni nani? Mbona simfahamu.

Unauliza jibu!
Yule huwa mnakwenda kuungama madhambi yenu na kumueleza uchafu woote mnaoufanya kwa siri ili awasameheni madhambi ni nani!?
 

Kaka mpeleke taratibu huyu max kyenju!

Atakufa kifo cha ghafla! Halafu afufuke kabla ya siku tatu! Tena akifufuka mara hii atakuwa kama sio SCHMIDT basi MWAJUMA!
Teh teh teh teh teh!
Mwanakondoo anangozi nyingi huyu! Duhhhh!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nonda, mwakilishi wa Mungu ni nani? Mbona simfahamu.

Max kyenju!
Inategemea huyo mwakilishi unaeulizia!
Wa bongo au wa arusha au morogoro au bukoba, au kule kwenu kisiwa ukerewe!

Mi majina ya hao wawakilishi wa mungu wako ninayo yoote! Mpaka yule mdhungu pia ninae!
Sasa niulize mimi yupi unamtaka!?
 
Huyu jamaa, kwao hakuna mikasi ya kunyolea ndevu au?
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa, kwao hakuna mikasi ya kunyolea ndevu au?

Mwanamme halisi hatakiwi kunyoa ndevu!
Anatakiwa kuzipunguza kidogo tu zikizidi sana!
Haya mambo ya kunyoa ndevu na kupendeza kama kina dada!
Matokeo yake ndio hayo ya ndoa za wanamme kwa wanamme kwenye nyumba za bwana!
We nyoa nyoa tu! Utakuja nyolewa na mchungaji siku moja!
Ohooòooooo!
 
Hata wewe huijui siku na tarehe aliyozaliwa "Mungu" Yesu?

Inatosha kujua kuwa Yesu alizaliwa. Au hufahamu pia kuwa " Yesu Kristo ni Mungu " alizaliwa?

Je Mungu anazaliwa?

Teyari kiumbe wa Allah kesha anza toka povu.

Kama Allah ni mungu, kwanini kashindwa kutuwekea tarehe ya kuzaliwa Isa bin Maryam? Hapo ndipo mtafahamu kuwa allah si mali kitu, hana ubavu wa kujua lini Mungu wangu alikuja duniani.

Kama kweli Allah wenu ni mungu, nionyeshe aya kutoka Koran ambayo inatupa tarehe ya kuzaliwa Mungu Yesu. ALLAH HANA UBAVU HUO, MTUME MWAMEDI HANA UBAVU HUO. KORAN ILIYO JAA SHAKA HAINA UBAVU HUO.

Kama kweli Koran ni kitabu cha Mungu:
1. Nionyeshe Injili ndani ya Koran.
2. Nionyeshe Taurat ndani ya Koran.

Allah is a LIAR. Period.
 
Geographical Errors


Raymond E. Brown, S.S., An Introduction To The New Testament, The Anchor Bible Reference Library (Doubleday, 1997) pp. 109-110

Tupe majibu ya kwanini Allah wenu haijui tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?
 

Asie na Meno ni Allah wako ambaye hana mfano.

NIPE MAJIBU WEYE MUHAMMADAN.

Kwanini Allah wako haifahamu tarehe ya kuzaliwa Isa bin Maryam? Kama kweli Allah ni mungu, basi nileteeni TAREHE YA KUZALIWA ISA BIN MARYAM.

Sina munda na watokwa povu.
 

Yaani Allah kashindwa sasa unamsaidia na khabri za Makafir"BBC". Kumbe Kolani haina jibu? Ha ha ha ha ha ha. Kumbe Allah ni Muongo alipo sema ETI "TUMEMTUMA ISA BIN MARYAM"?

Kama Allah kamtuma Isa Bin Maryam, Vipi Ashindwe kutupa tarehe aliyo mleta hapa Duniani?

WAISLAM, NILETEENI TAREHE YA KUZALIWA ISA BIN MARYAM?
 

Muhammadan, wewe na ALLAH wako na Muhammad wako woote ni WAONGO na si MALI KITU.

Kama kweli Allah alimtuma Isa Bin Maryam kama alivyo dai kwenye Koran yake iliyo JAA SHAKA.

BASI: Nileteeni Tarehe ya Kuzaliwa huyo Isan Bin Maryam?

 


Usifikiri utaweza badilisha argument hapa:

MIMI NATAKA MNILETEE AYA MOJA TU, MOJA TU, NARUDIA TENA MOJA TU KUTOKA KORAN INAYO WEZA KUMSADIAIA allah wenu ili tusimwite MUONGO.

1. Kama kweli Allah ni Mungu,
2. Kama kweli Allah alimtuma Isa Bin Maryam kama alivyo dai kwenye Koran ya Jibril,
3. Kama kweli Isa ni Mtume wa Allah,

Basi nijibu swali langu?

Nileteeni kwa ushaidi wa Aya Tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?


 

MI MAJIBU YOOTE HAYO NNAYO! NATAKA WEWE UJIBU SWALI LETU LA KWANZA!

JE! TAREHE 25/12 YA KILA MWAKA MNASHEHEREKEA NINI??

"enyi wagalatia mnaosoma hapa! mbona hili swali ni rahisi lkn hakuna wa kulijibu??"

tehn teh tehe teh!

UGALATIA BALAA!! KAAAAAZI KWELIKWELI!!
 

KAMA KWAIDA YAKO! UNAJIWEHUSHA NA SWALI LAKO LA KITOTO !

We umeona muislamu anasheherekea kuzaliwa kwa ISSA!?

sasa hio tarehe inatuhusu nini sisi! wenzako wameshakuchoka, na unazidi kuwaaibisha !

Yaani wee ni taahira uliacha kumalizia dozi!!

SWALI LIKO PALEPALE!

KITU GANI MNASHEHEREKEA KRISMAS!!?? ni ubatizo?? au uhuru wa israel??

SIO LZM AJIBU MAX! MGALATIA YYT ANAKARIBISHWA!!
 
Japo angepunguza kidogo, maana yake inaonekana kama kichaka flani hivi, Lakini mkuu, kama ndevu ndio kiashiria cha mwanaume halisi inamaana wale ambao Allah(SWT)hakuwajaalia ndevu kwa mfano wajapani, sio wanaume halisi?
 
Japo angepunguza kidogo, maana yake inaonekana kama kichaka flani hivi, Lakini mkuu, kama ndevu ndio kiashiria cha mwanaume halisi inamaana wale ambao Allah(SWT)hakuwajaalia ndevu kwa mfano wajapani, sio wanaume halisi?

MKUU wajapani wanazo ndevu! na japo sio nyingi! Allah kawapa maumbile yasiovutia sana km hawa wa kwetu!!

we unakuta mwanamme kajaa km dada zetu! halafu mashavu kasafisha! anajipulizia yale manukato ya kike!! halafu kuna wengine wanajipaka mikorogo eti wawe" handsome"

matokeo yake ndo hayo! laana imesambaa mpaka kwenye hizo nyumba zinzoitwa za BWANA!!
si ndio laana
 
Teh teh teh, Shariff kahtaan, huwa nacheka sana nikisoma bible.

Wameandika Mungu wakati anaumba dunia kuna siku alipumzika.

Tutumie akili zetu tu hivi kweli Mungu ana sifa ya kuchoka na kupumzika.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…