^^
god bless you
^^
hata mimi nitaka kuuliza hivyo hivyo...lol!
Happy birthday my love.
Umetimiza miaka kumi na ngapi?
Afu ukome kutuzalisha wazee. Nilipofikisha 50 ndo nlikopa hela ya kununua kiwanja. Unataka nambia nlichezea maisha? Ututake radhi wastaafu.
Happy birthday. Hii picha ya mtoto ndio wewe au ya kudownload?
hata mimi nitaka kuuliza hivyo hivyo...lol!
hahaaa Husninyo mungu atakuwa amesikia dua yako........
naomba umsalimie Hamis ikiwezekana mje nae kwenye kula keki lol!!!!!!!!!
HBD mpenzi:love::love: wangu, nilijisahau kabisa yaani hizi hela kuzitafuta zinafanya nisahau mengine.
Na wewe unge ni-PM kunitonya nikurushe hewani aaaaagh:doh: