na bosi ni alywas right AD, sheria namba moja, na kama hayuko rite, refer pia sheria namba 1,
Miss you though....
Mkulu Max hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa tupo pamoja,
Katika kusherekea siku hii, leo basi walau BAN zipumzishwe kabisa hadi kesho....
Many Happy returns!:israel:
Mkulu Max hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa tupo pamoja,
Katika kusherekea siku hii, leo basi walau BAN zipumzishwe kabisa hadi kesho....
Many Happy returns!:israel:
Mungu ampe maisha marefu hadi tumwanike juani.
Haa haa. mkuu pia wale wanaotumikia vifungo vyao vya ban wasamehewe leo. ha haa.
Heri ya siku yako ya kuzaliwa mkuu.