Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 366
wasiwasi ulionao hata mimi nilikuwa nao,tangazo nilioliona sikuona jina la lady jd,mwanamuziki pekee kutoka africa mashariki niliyeona jina lake ni bebe cool wa uganda,hivyo sina hakika kama na jide alipanda kwenye stage,ila kwenye gazeti la the the londoner newspaperniliona picha aliyopiga mandela na wasanii wote waliokuwa watapaform kwenye birthday,jide alikuwepo kwenye hiyo picha
mmm nasikia asingeweza kuperform LIVE kama wenzake walivyo weza kulitawala jukwaa.
Kwanza angetuaibisha angeimba nini pale????Bora walivyo mtoa angetuletea aibu TZ.

true bora hakuwepo kwasababu mimi nilikuwa so nervous kwasababu yake{i watched the whole live show}..nilifikiria ataimba nini na kama ataweza kutawala jukwaa kama akina bebe cool
BIG UP TO BEBE COOL AND THE GROUP! They made me proud to be east african kwa yale waliyoongea na wimbo walioimba.
JD ni mwanamuziki pekee anayefahamika nje ya mipaka ya TZ.kweli WABONGO MNASHANGAZA, KAMA WEWE HUJIAMINI SIYO MWENZIO. JD kama ange-perform inangeonyesha umahiri wa hali ya juu. Ni mwanamuziki mwenye uwezo mkubwa sana. NAKUSHANGAA ETI ANGELETEA AIBU TZ, fidel80 nafikiri wewe huko uliko unafanya mabomo ya aibu kwa watanzania ndiyo maana unasema hivyo, MTAKE RADHI JD na watanzania wengine umetuaibisha kwa mneno yako ya kutudharirisha.
Labda alimuimbia Hotelini......Kwa hiyo alikwenda kupiga picha na siyo kuimba?
JD ni mwanamuziki pekee anayefahamika nje ya mipaka ya TZ. Na vilevile uliza mwanamuziki yeyote wa afrika kuhusu muziki wa TZ na wanamuziki wake, atakutajia jina la kwanza kabisa la "MAMA CAPTAIIIIIIIIN".
mmm nasikia asingeweza kuperform LIVE kama wenzake walivyo weza kulitawala jukwaa.
Kwanza angetuaibisha angeimba nini pale????Bora walivyo mtoa angetuletea aibu TZ.
People,
Lets be serious for a minute.
Jay Dee angeimba wimbo gani sasa pale?
hakuna anayeabudu mzungu hapa.mtu aende kwenye shughuli kama bendera ya nchi halafu aharibu hata kama angekuwa anaimbia china ama india ama afrika bado ningesema the same thing kuwa anaaibisha tz..mimi point yangu ni kuwa..wanamuziki wa kibongo bado naona hawajafikia kiwango cha kuridhisha[bongo flava] from my point of view
halafu mimi ni mmoja wa fans wakubwa wa jd ndo maana nilisema kuwa nilikuwa nervous for her.
well on the positive side..i think vitu kama hivi ndo vingewaendeleza.lakini kwanini jd sasa hakutokea? ama alichujwa?