Amen and amen.Aah bas madam nilitumia TU tafsida ila hongera SANA KAPO YENU IDUMU ZAIDI
mkihtaj msimamiz wa ndoa npo hapa jaman
Hakika toto
Kumbe ninaweza kupata mke humu eheeHapo kwenye kudeka sasa smart mwenyewe anajual!
Weee H unanchocha sio!!
Ndiwooo tulianza kufahamiana humu humuu !
Tulifokeana sana tulisonyana sana Smart alinichokoza sana hio siku hadi nika m notice ikawa kila nikimuona namfyonzaπππ
Nilikua najiuliza chalii yuko wapi! Nimekuwaza sanaπ
Muogope MunguMbona hukunipigia?
Usiku mwemaMuogope Mungu
Nipo boss lady shikamoo..Weeee mr vouuuuu upogo??????πππ
Long time sijakuonaa aseee nafurahi kukuona trena
Amina Amina sana boss kubwaaaNipo boss lady shikamoo..
Nafurahi kukuona pia
Uwe na siku njema
Thank you Eli.. ndio napokea pa kuntumia ni paleepalee
Mambo yako tunakuachia mwenyeweInasikitisha sana
Thank youHappy Birthday kwake
Hongera sana Kwa Baby wetu.Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.
Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.
Mungu akupe miaka mingi yenye baraka na kila ndoto yako itimie. Endelea kung'aa daima, kama ulivyo na iwe kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa.
You are a star, which shines forever.
View attachment 3596879
Cc: Mahondaw
Kazi kwakoo! Au mwambie Smart akupe mwongozo???Kumbe ninaweza kupata mke humu ehee