Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,777
- 24,089
Naunga mkono hojaapenzi tutalifaidi apendapo RAHMAN,
penzi lina raha yake asiyejua ni nan? penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni
AmeeeeeeeeeenMtu akiwaroga niuzie mimi kesi, yeye na mganga wake wate nawageuza misukule.
Kwakweli!?Tatizo binadamu ni wabishi sana.
Asante sana
Generation ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..Kama Smart anafanya hivi , unajua Mahondaw anafanya nini in return?
Subiri wanza we ni ile sample ya kina ba mtu?Generation ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..
Wadada wengi mtandaoni wanalalamika na sisi wanaume kwenye early stage za mahusiano tunapiga vizinga wadada 😁 tena wanasema kauli za wanaume hao zipo hivi (mamtu una elfu tano hapo) nikajiuliza dooh ni kweli au story, kama ni kweli, male species tumefikaje hapo 😮💨 binti kiziwi ephen_ ShesRise_1
Uzi wa watu wa celebration we unaleta story zako za alfu lela ulela.Generation ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..
Wadada wengi mtandaoni wanalalamika na sisi wanaume kwenye early stage za mahusiano tunapiga vizinga wadada 😁 tena wanasema kauli za wanaume hao zipo hivi (mamtu una elfu tano hapo) nikajiuliza dooh ni kweli au story, kama ni kweli, male species tumefikaje hapo 😮💨 binti kiziwi ephen_ ShesRise_1
Hapana, mimi sio hiyo sample ya kina mamtu, napenda sana kutoa hela kwa mwanamke ninaempenda (ila naangalia na mwanamke mwenyewe jinsi anavyoni-treat) ShesRise_1Subiri wanza we ni ile sample ya kina ba mtu?
Safiiii tusiharibu uzi sasaHapana, mimi sio hiyo sample ya kina mamtu, napenda sana kutoa hela kwa mwanamke ninaempenda (ila naangalia na mwanamke mwenyewe jinsi anavyoni-treat) ShesRise_1
Sijakuelewa ulichoandikaGeneration ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..
Wadada wengi mtandaoni wanalalamika na sisi wanaume kwenye early stage za mahusiano tunapiga vizinga wadada 😁 tena wanasema kauli za wanaume hao zipo hivi (mamtu una elfu tano hapo) nikajiuliza dooh ni kweli au story, kama ni kweli, male species tumefikaje hapo 😮💨 binti kiziwi ephen_ ShesRise_1
Nisamehe 🥹 binti kiziwiUzi wa watu wa celebration we unaleta story zako za alfu lela ulela.
Unanikumbusha wifi yangu mmoja muhindi kwenye birthday za wengine lazima aanzishe kajiugomvi afokee watu.
Penda amani.
Naonaga jf hakuna kitu kinaitwa kuharibu uzi hasa MMU na Chitchat tunavyoongea ndo uzi unatembea🤔Uzi wa watu wa celebration we unaleta story zako za alfu lela ulela.
Unanikumbusha wifi yangu mmoja muhindi kwenye birthday za wengine lazima aanzishe kajiugomvi afokee watu.
Penda amani.
Wacha weee kwamba yeye ule mfereji wa Homz anapita bila vikwazo vya mojtaba khomenei?Hata sijui nianzie wapi kukwambia ila this dude bana dahhh... ana pepo yakeee
Ni kweli, mi nikimkuta Balqior popote lazima nimtwange mangumi.Naonaga jf hakuna kitu kinaitwa kuharibu uzi hasa MMU na Chitchat tunavyoongea ndo uzi unatembea🤔
Nikiona couple wanatembea barabarani wameshikana mikono, huwa napatwa na hasira ephen_Sijakuelewa ulichoandika
Unasumbuliwa na mapenzi?
Muache asome kwanzaLeo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.
Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.
Mungu akupe miaka mingi yenye baraka na kila ndoto yako itimie. Endelea kung'aa daima, kama ulivyo na iwe kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa.
You are a star, which shines forever.
View attachment 3596879
Cc: Mahondaw
Nakupenda ❤️ binti kiziwiNi kweli, mi nikimkuta Balqior popote lazima nimtwange mangumi.
Ye mwenyewe from no where huwa ananiitaga kwenye nyuzi ambazo hata sihusiki, tushazoeana, tunabishanaga tu hata hatugombani.