Si unajua tumeshakuwa mwili mmoja!!!? Mimi na weweni kitu kimoja!
tulikuwa tunafanya kwa siri. Nshamwacha. Sa hivi nipo na sweetlady tunalea.Hivi Wewe na marejesho bado mpo pamoja? kwa mkataba ulikuwa wa muda gani manake nakumbuka marejesho kuna kipindi alikuwa kwenye makubaliano na Nicas Mtei sijui iliishia wapi!
My wife wala usifadhaike....... and I don't do suprises, nipo nakuja na zawadi yako nimezuiwa boda.......... soon will get in touch mpk wanoko wazibe midomo yao
Tena mwambie tunalea huku tunapendana kwa dhati
Nimekataa Passion Lady.......tena ntaandamana......... Ilikuwa lini vile?...... Khaaaa
ilikua ijumaa,A towners my dear!
nilikua na hamu ya kukuona balaa!
Jamani usijali my dear.......as long as uzima upo tutaonana tu usijali........mie si unajua ni wa hapa hapa tu
pamoja
Night Park