Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hahahahahaha,kweli umekua addicted.
Kuna kitu nakiona kama Ndovu hivi!!!!!?
Kuna kitu nakiona kama Ndovu hivi!!!!!?
Kama kawa
Natoka st. Tereza kwenye njia ya msalaba navuka barabara najidunga ndofu.
Kwani aje meeen
Jamaniiiiii!!!!!!!?
My husband what is happening here!!!!Mbona unatumia umoja badala ya wingi?Tena ulitakiwa umuwakilishe pia Kijacho!!!!!
Mtoto hataki ndyofu,labda tumpe soda za Tanga(ile ya perfume)
Ukipita kwa uku central lazma wakudake maafande,pita uhuru road au hapo uchochoro wa....
Inaonekana huwa unafanya hivyo!
Kuna kitu nakiona kama Ndovu hivi!!!!!?
He he he hivyo eeehhhh.
Halafu wewe kwanini ukakataa kuja pale mahala siku ile??
Kama kawa
Natoka st. Tereza kwenye njia ya msalaba navuka barabara najidunga ndofu.
Kwani aje meeen
Happy Birthday my Dear uishi miaka mingi zaidi uone wajukuu zako
Makubwa!!!!!kwaresma halafu ndyofu
Aaaai hii kali sijapata ona, kwa hiyo wewe kufunga mwiko.