Happy Birthday Lily Flower...........

Happy Birthday Lily Flower...........

Kwanza kabisa namshukuru Mungu muweza wa yote kunifikisha siku ya leo, pili wazazi wangu wapendwa na familia yangu kwa ujumla, tatu marafiki wa karibu hususan hapa JF maana ndio wishes za kwanza nimepata kutoka kwenu asanteni sana, love you all.
 
Wishing you happiness
To welcome each morning,
Wishing you laughter
To make your heart sing.
Wishing you friendship
Sharing and caring,
And all of the joy
The birthday can bring!

HAPPY BIRHTDAY Lily Flower

flowers.jpg

​

Asante sana Preta kwa mara ya pili.
 
Last edited by a moderator:
Si mpaka aje...... Mungi wala hajui kama leo ni birthday ya Lily Flower

Happy birthday mke mwenzangu Lily Flower ..... Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani, upendo na utulivu daima....... Ntakuazima Mungi kwa leo tu!!!!

Asante Dear sweetlady, sijui umeibukia wapi na ulipotelea Australia sasa unataka kuvuruga ndoa yetu na Mungi wewe wewe nisikukamate.
 
Last edited by a moderator:
There is a gift that gold cannot buy
A blessing that's rare and true
That's the gift of a wonderful person coming into our life
Like we have in you! Happy Birthday Lily Flower!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom