Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Ahsante sana best...sasa utakuja na nani? Vin Diesel au figganigga
Happy birthday my dear ex....pokea salamu toka kwa familia ya Vin Diesel na Mkewe kipenzi Heaven on earth....
ushavunja ungo tuchukue mahari?
Arushaone....Thanks my dear X karibuni sana....though sijakusahau hata chembe.
Hivi kilichotutenganisha ilikuwa ni nini?
Mr Rocky....Thanks my dear X karibuni sana....though sijakusahau hata chembe.
Hivi kilichotutenganisha ilikuwa ni nini?
Ahsante bestito....mnakaribishwa sana na your hosband Ben Saanane kwnye kukata keki.
Nami nawaombea mfikie ndoa tupige vigelegele
Shem wangu KOKUTONA tunakutakia kila la kheri.Maombi yetu yapo na wewe
Jiulize mlifanya nini...
happy birthday mkuu. Vin Diesel mchokozi. naomba watuache mimi na asali wa moyo wangu Heaven on earth miaka mia moja. mia
Ahante sana shem wangu Ben Saanane kwa wishes na maombi. Nisalimie my dada