Happy Birthday KOKUTONA

Happy Birthday KOKUTONA

Happy birthday rafiki.Ingawa nimechelewa sana kuona hii post.Mungu azidi kukulinda na kukuongoza.

Amen, ahsante..hujachelewa sana kwani bado tunapokea nepi, pampas, baby powder na vinginevyo.

Thanks for the wishes friend, barikiwa sana.

Ila umepoteaa?
 
Ahsante sana, nilifikiri nimechelewa kumbe niko ndani ya mda muafaka.Rafiki nipo ni majukumu ya hapa na pale, ndiyo maana wakati mwingine napotea.Pamoja sana rafiki.Nikutakie wakati mzuri wa kuendelea kufungua zawadi za Birthday na majukumu kwa ujumla.
 
Jishaue.
Na hupati unyumba miezi 6 kwa hili ulilonifanyia.

Jamani dada unataka kuniambia hii zawadi hajakwambia?

But, Mume hanyimwi unyumba Madame B. Haki yake hiyo na huko ndo mtazungumza myamalize
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana, nilifikiri nimechelewa kumbe niko ndani ya mda muafaka.Rafiki nipo ni majukumu ya hapa na pale, ndiyo maana wakati mwingine napotea.Pamoja sana rafiki.Nikutakie wakati mzuri wa kuendelea kufungua zawadi za Birthday na majukumu kwa ujumla.

Usi jali, tupo pamoja sana rafiki.

Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom