Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mimi na kaka ako Ruttashobolwa
tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa my wii KOKUTONA!!
Last edited by a moderator:
Happy birthday dear
Happy Birthday mamy!Ohhh, thanks a lot rafiki
ahsante sana..si utakuja tukate keki eti?
Ahsante sana kwa hongera zako kaka yangu kipenzi. Barikiwa sana
KOKUTONA mbona wanipa mtihani mie.............Ahsante sana best...sasa utakuja na nani? Vin Diesel au figganigga
Omukama akulinde!
Ooooooh thanks a lot rafiki yangu wa UKWELI. Usikose kwenye cake sawa? Uje na Lady doctor
Enjoy your day lil sis.....
natamanije sasa kukusikia! angalau nikuambie siku njema
mimi na kaka ako Ruttashobolwa
tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa my wii KOKUTONA!!
Happy Birthday mamy!
Stay blessed!
Naniize mia