Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Mimi simo mkuu!!
Umo na wasiokuwemo....
Mimi simo mkuu!!
happy birthday mkuu. Vin Diesel mchokozi. naomba watuache mimi na asali wa moyo wangu Heaven on earth miaka mia moja. mia
Mkuu figganigga....kwenye ndoa yangu na Heaven on earth naomba usilete maneno yako....she is happy with me
Vin Diesel unanionea sana na muda wa kujitetea umefika
Usimsikilize Vin Diesel my dear KOKUTONA ana yake huyo na mimi hapa nasubiri ngumi tuu kutoka kwa grafani11 na figganigga kumhusu Heaven on earth
Ngumi tena umri huu! Sikumbuki ni lini nilirusha au kurushiwa ngumi.
happy birthday..........
Tuleni keki sasa
Mkuu Tutor B kuna watu wanamgombea Heaven on earth hapa yumo Vin Diesel na mwenzake figganigga na kamtu kamoja hivi kanaitwa grafani11 sasa kama hapo sio ngumi zitafumuka ni nini
Kabisa mkuu au wakubaliane wawe nae wote watatu kwa zamu wanapeana zamu tuu siku ziko saba kila mtu apate siku zake mbili na siku moja iliyobaki bibie apumzikeTuwapeleke kwenye lile hoteli linalovuja mvua ikinyesha ndo wapiganie huko kama! Viwanja vya wastaarabu hakuna ngumi; kuna kurushiana ofa za vinywaji tu - WASIKILIZE WALE MEZA JIRANI.
Oiyukile n'ekilo kyawe ky'okuzalwa. Nyeigoro mbaile ndi hala.
Vin Diesel unanionea sana na muda wa kujitetea umefika
Usimsikilize Vin Diesel my dear KOKUTONA ana yake huyo na mimi hapa nasubiri ngumi tuu kutoka kwa grafani11 na figganigga kumhusu Heaven on earth
Kabisa mkuu au wakubaliane wawe nae wote watatu kwa zamu wanapeana zamu tuu siku ziko saba kila mtu apate siku zake mbili na siku moja iliyobaki bibie apumzike
Tuwapeleke kwenye lile hoteli linalovuja mvua ikinyesha ndo wapiganie huko kama! Viwanja vya wastaarabu hakuna ngumi; kuna kurushiana ofa za vinywaji tu - WASIKILIZE WALE MEZA JIRANI.
Ha ha haaaaa yaani nyie....yani utadhani una negotiate bidhaa sokoni